Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Viwanja vizuri sana vipo 6 vinauzwa Kwa bei tofauti tofauti
SQMT 500 vipo 5 = MILIONI 20 Maongezi yapo
SQMT 400 vipo 2 = MILIONI 18 Maongezi yapo
MBEZI MWISHO MAKABE (GOBA ROAD)
Matumizi: Makazi/Apartment/ nk.
SALES AGREEMENT (Hati ya mauziano ya serikali za mitaa)
Maji safi dawasco umeme vyote vipo karibu kabisa na kiwanja
Umbali kilomita 2.5 tu kutoka Bara bara ya lami ya Goba road