Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


Vimebaki vitano tu. Njoo weekend hii usichelewe.
Bei ya viwanja hapa ni TSH MIL 4,900,000/= ( milioni nne na laki tisa tu) na #maongezi_yapo
Ukubwa: SQM 400
Location: MBEZI MPIJI MAGOHE. Mita 800 tu toka main main road ya mpiji magoe. Pembeni kidogo ya shule ya Msingi Kibesa.
Umeme upo site majirani washahamia yani huduma zote zipo.
Tupigie simu :, 0675 200300 au 0789 100 100
vijana_realestate
dalali.evance
dalali.kijana
flora_viwanja
mirah_maplots
Office: TEGETA AZANIA CHIEF HOUSE ghorofa ya kwanza