Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,000,000
Project
Yes

Viwanja vilivyopimwa Vinauzwa Kiluvya Makurunge Kwa Masister! Kiluvya katikati ya Mbezi Kibamba na Kibaha! Ukitoka Kibamba unaingia Kiluvya Kisha Kibaha....

Kiluvya Makurunge Kwa masister ni Upande wa kushoto kama unatokea Dar es Salaam,kufika hapa viwanja vilipo ni km8 Toka morogoro Road!

Utajipatia Kiwanja Kilichopimwa kuanzia shilingi 4,600,000/= Hadi 6,000,000/= Kwa size ya 400m² kulingana na mahali Kilipo Kiwanja.

Utaratibu wa Malipo
1,000,000/= Kishika uchumba( kifunga mbengee Kwa kichaga)

Kiasi kilichobaki unalipa kidogo kidogo ndani ya mwaka mmoja! Njoo umiliki Kiwanja chako kutoka Cananland....

Ukiona umeshindwa kulipia/kununua plot kwetu,Kaa Chonjo! Upo mbioni kutapeliwa.

Ofisi Zetu: Mbezi Kwa Msuguri na Kiluvya Madukani.

Mawasiliano Zaidi
0659 972 868
0763 172 814

Cananland Marketing Solutions
dar_kubwa_remmysbrand
Cananland Marketing Solutions

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 500,000

HOUSE FOR SALELOCATION: MBEZI BEACH – JK NYEREREPLOT SIZE: SQM: 900+PRICE: USD 500,000The house is a...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

NYUMBA INAUZWA MARK :MBEZI BEACH RAN BOYBEI, MILLION BILIONI 1.2 MAONGEZI YAPOSQM, 700NYALAKA , NY...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

#VYUMBA_VITATU APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH ______________KODI TSHS ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

#NYUMBA_ INAUZWA#MAHALI MBEZI BEACH MAKONDE UKUBWA ENEO SQM 650BEI YA KUUZA ML 140Maongezi yapo SIFA...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTAR BEDROOM MPYAA MPYAA ZINAPANGISHWA ZIPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZIUMBALI KM/ 1,5 USAFI...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

KIWANJA SAFI NDANI YA FENCE KINA UZWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA LAMI ------SQ...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

CHUMBA MASTER | SEBULE KUBWA NA JIKO. KUBWA SANA. KODI 500,000/= ×6 TU__MBEZI KWA MSUGURI HAPA MBIO ...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

$ 500,000

HOUSE FOR SALELOCATION: MBEZI BEACH – JK NYEREREPLOT SIZE: SQM: 900+PRICE: USD 500,000The house is a...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

Mbezi Malamba Mawili🔥🏠Ukubwa: Sqm 400Bei: Mil 38 tu!!! (FIXED)🔥 - Vyumba 3 (1 Master) - Sebule + ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 140,000,000

Nyumba ya vyumba vitatu ,sebule , dinning na jiko inauzwa na kiwanja chake kizuri sana kinafaa kuwek...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI JUU KWA ULOMI...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT FOR RENT LOCATION MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 1,5 BODA ELF MOJA 1000 INAFAULISHWA MPANGAJI...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • By Installment

Sh. 350,000,000

Plot For Sale Mbezi Msakuzi 🛣️ 3km From Morogoro Road ( Mbezi Magufuli Terminal)🏷️Price      SQM 3...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM2 KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA ZEGE. -----Chumba maste...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 38,000,000

Nyumba Mpya Nzuri InauzwaMahali: Mbezi Malamba MawiliBei: Milioni 38 (Mazungumzo)☑️Vyumba 3, Kimoja ...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAM📍ENEO- TEMBONI Upande wa kulia kama unaenda mbezi📍BEI - 120,...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000,000

ENEO KUBWA LINA UZWA MBEZI KWA MSUGURI DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI ENEO LINA NYUMBA 2 NDANI UKUBWA W...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 280,000

APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA MBEZI LUISI (MACHIMBO)KODI YAKE 280K X 5x6💫💫 APARTMEN...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

MPYAA🔥🔥MPYAAPARTMENT YA KISASA💥KUHUSU SWALA MAJI HAPA SAHAU USIJE HATA NA NDOO...💥 *KODI YAKE 40...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

#APPARTMENTS MPYA NZURI SANA TAJIRI HII NI FIREEEEnlUMEONA WAP .......KODI:400,000TSH LOC: MBEZI MAG...