Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam


#VIWANJA #VIWANJA #VIWANJA
VIPO VIWANJA VITATU VINAUZWA
VIWANJA VIPO MBEZI MWISHO NYUMA TU KIDGO YA STAND YA MAGUFULI BAS TEMINAL
UMBALI WA DK 10 MPKA 15 TU KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
VIWANJA VIMEKATWA KAMA IFUATAVYO
VIPO VIWILI VYA MITA 25 KWA 25
BEI YA KUANZIA NI MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO
KINGINE KINA MITA 20 KWA 25 BEI YA KUANZIA NI MILIONI 30 MAZUNGUMZO YAPO
VIWANJA VIPO NDAN YA FENS GETI SAFI VIPO TAMBARARE NA VINAFIKIKA KWA GAR YA AINA YOYOTE
SERVICHAJ ELFU 25
CONTACT
0719969102