Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

ZINGA KANISANI.

NJIA KUELEKEA KANISA LA ROMA.

ENEO LIPO KATI YA KEREGE NA ZINGA TOWN BAGAMOYO

● Bei tunauza sqm 1 kwa 18,000Tsh na malipo ni kwa awamu mpaka miezi sita(6) yaani kiwanja cha ukubwa wa 20mita kwa 20mita unapata kwa 7milioni na hiyo unalipa kwa miezi sita tu.

Malipo utaanza na 3.5milioni tu, nyingine utalipa kwa awamu ya miezi sita(6).

Ukimaliza malipo utafutaji wa hatimiliki unaanza hapohapo bila kuchelewa.

● Hapa tumepima viwanja 50 tu na vyote tunaviuza viwanja vyenye ukubwa wa 20*20 mpaka 30*40 namaanisha 400sqm,500sqm,600sqm,700sqm,800sqm,900sqm mpaka 1200sqm vipo kwa hiyo utaamua wewe unachukua ukubwa upi.

● Mradi upo mita 500 kutoka barabara kubwa ya lami yanapopita mabasi, unatembea kwa miguu kufika kituoni.

● Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

● Mitaa tumeichonga vizuri na barabara za mitaa tumeweka kubwa size ya 10mita. Unangoja nin kununua sehemu kama hii maana bei ni kama tumegawa bure.

● Majirani wapo tayari na huduma kama maduka ya vitu vidogo vidogo yapo hapo hapo site.

KWA MAELEZO ZAIDI TUPIGIE NAMBA HIZI

#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima na yenye mamlaka ya kupauza hapa, haruhusiwi mtu yeyote kukanyaga kwenye eneo bila ruhusa ya kampuni.

Tunawajari sana wateja wetu.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 480,000,000

*🌹NYUMBA ZIKO MBILI ZA KIFAHARI ZINAUZWA NAZIMEJENGWA KISASA SANA SANA NA ZIKO STANDARD MNO MNO....

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi mwisho nyuma ya stand mabasi Kodi 600000 kw...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartiment house for rent nzuri kali sana Location mbezi mwisho km 1Kodi 300000 kwa mwezi na dalali ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH UPANDE ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 360,000,000

0679 997610 #FOR SALE 360,000,000/= 💥JUMBA LA KISASA KUBWA BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA DSM, DK 4 TOKA LAMI.___________________KODI 40000...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA IPO MBEZI MALAMBA DSM, DK 2 TOKA LAMI.___________________KODI 35000...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment Classic For Rent ✨️ Location: MBEZI MWISHO Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road Usafiri 24H...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 380,000

(380,000X6)MBEZI KWA MSUGULI DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD ➖➖➖➖➖➖➖➖➖#STAND ALONE INAPANGISHWA...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

KODI 100000 K X4/5/6APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHOUPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA MJINIUMBALI WA KUTOK...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

0679 997610 APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KW...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

KODI 100000 K X4/5/6APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHOUPANDE WA KUSHOTO KAMA UNATOKA MJINIUMBALI WA KUTOK...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 360,000,000

#FOR SALE 360,000,000/= 💥JUMBA LA KISASA KUBWA BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MIL...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI M...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

#APARTMENT FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAA KODI NI 200,000/=×6✨️CHUMBA KIKUBWA MASTER✨️SEBULE✨️JI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 360,000,000

#FOR SALE 360,000,000/= 💥JUMBA LA KISASA KUBWA BANGALOO KUBWA ZURI LENYE HATI MMILIKI LINAUZWA MIL...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1 KUTOKA LAMI -----Vyumba 3 vya kula...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI -----Vyumba 2 vya kulala kim...