Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

➑️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➑️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo, SWIPE LEFT UONE PICHA πŸ“Έ.

➑️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➑️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➑️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➑️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

π—•π—˜π—œ 𝗭𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔 𝗑𝗔 π—¨π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—žπ—˜

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 630 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 6, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 6.

π—¨π— π—•π—”π—Ÿπ—œ π—ͺ𝗔 𝗣π—₯π—’π—π—˜π—–π—§ 𝗬𝗔 π—©π—œπ—ͺ𝗔𝗑𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

π—žπ—ͺ𝗔 π— π—”π—˜π—Ÿπ—˜π—­π—’ π—­π—”π—œπ——π—œ π—§π—¨π—£π—œπ—šπ—œπ—˜ 𝗑𝗔𝗠𝗕𝗔 π—›π—œπ—­π—œ
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu π—§π—˜π—©π—œ π—–π—’π— π— π—˜π—₯π—–π—œπ—”π—Ÿ 𝗣𝗔π—₯π—ž(𝗢𝗹𝗢𝗽𝗼 𝗑𝗕𝗖 π—•π—”π—‘π—ž), π— π—•π—˜π—­π—œ π—•π—˜π—”π—–π—› π—§π—”π—‘π—žπ—œ 𝗕𝗒𝗩𝗨 - 𝗗𝗔π—₯ π—˜π—¦ π—¦π—”π—Ÿπ—”π—”π— .

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

TAREH 18/4/2025 KIWANJA KINAUZWA DAR ES SALAM TZMAHALI MBWENI KIEMBENI PLOT SIZE SQM 840BEI TSH MIL ...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

TAREH 18/4/2025 KIWANJA KINAUZWA DAR ES SALAM TZMAHALI MBWENI KIEMBENI PLOT SIZE SQM 840BEI TSH MIL ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment Zinapangishwa Mbweni Maputo Zinavyumba viwili vyakulalaBei laki-4Maji umeme unajitegemea #...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

TAREH 18/4/2025 KIWANJA KINAUZWA DAR ES SALAM TZMAHALI MBWENI KIEMBENI PLOT SIZE SQM 840BEI TSH MIL ...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 17,000,000

TAREH 18/4/2025 KIWANJA KINAUZWA DAR ES SALAM TZMAHALI MBWENI KIEMBENI PLOT SIZE SQM 840BEI TSH MIL ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

Apartment Zinapangishwa Mbweni Maputo Zinavyumba viwili vyakulalaBei laki-4Maji umeme unajitegemea P...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Mbweni JktIna Vyumba vitatu vya kulala, Viwili ni Master, Din...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000,000

KIWANJA KINAUZWA Tsh MIL 200SQM 1600MBWENI UMILIKI - HATI SAFIContact call 07125316570789731695

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

✨ APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA – MBWENI MPIJI (KARIBU NA APC)πŸ’° Kodi: TSh 500,000 kwa mweziFura...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 55,000,000

KIWANJA KIMEOONYOOKA SAANAKIPO MBWENI MALINDI (baharini kabisa )πŸ”₯SQM 500PRICE ML 55 KIWANJA KIPO KA...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 240,000,000

PLOT FOR SALE MBWENI JKTSQM 900ML 240HATI SAFI YA WIZARA #0689138795whatsapp #0758998074πŸ‘ˆ

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000,000

Nyumba inauzwa ipo Mbweni JKT, inatizama Barabara ya Lami.SQM 1,000BEI Bilioni 1.2Hati ya umiliki ip...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

A Bullet Proof House For Sale Location:Mbweni Jkt Plot Size Sqm 2000Documents:Title Deeds(Ina Hati M...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

✨ APARTMENT ZA KISASA ZINAPANGISHWA – MBWENI MPIJI (KARIBU NA APC)πŸ’° Kodi: TSh 500,000 kwa mweziFura...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

KIWANJA KINAUZWA *MBWENI ROUND ABOUT**BEI Tshs 250ml*Ukubwa SQM 1,900HATI MKONONIDAR ES ALAAM-Tz #06...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000,000

APARTMENTS FOR SALE: LOCATION: MBWENI JKT. Kuna Apartments za familia 3, zote Zina Vyumba vi3 vyote ...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 220,000,000

Plot for saleMbweni malindi estateSqm 900Clean title deedPrice Tsh 220 million600 hundred meters fr...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENTIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBWENI UBUNGOβ€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

Kiwanja kinauzwa Mbweni jkt Sqm; 1,670Price; Million 250 negotiable Hati miliki ipo. Ni kizuri kwaji...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 270,000,000

PLOT FOR SALE LOCATION β–ͺ︎β–ͺ︎ MBWENI JKT SQUARE METERS β–ͺ︎β–ͺ︎ 1600SALE β–ͺ︎β–ͺ︎ TSH β–ͺ︎ 270 MILIONI FUL TITLE...