Viwanja vinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam
๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ (๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐)
- Mita 500 kutoka baharini (unaiona bahari ukiwa apo na unaweza kutembea)
- Km 3 kutoka lami ya mbweni
- Ukubwa wa Viwanja ni sqm 491 na 749
- Huduma muhimu kama Maji, umeme vipo tayari (mji umejengeka)
- Kiwanja vimepimwa na ukimaliza malipo tunakupatia hati ya wizara
BEI;
Sqm 749 Ni Tsh 25,000,000/=
Na sqm 491 ni TSh 22,000,000/= maongezi yapo
Kwa mawasiliano zaidi piga/WatsApp
0749 060677
๐Office; Mbezi beach Shamo tower 1st floor
EPUKA migogoro wekeza kwa usalama.