Viwanja vinauzwa Mji Mpya, Kilimanjaro


Wadau viwanja Viwanja mji mpya vipo mvuti jiji la dsm wiraya ya ilala viwanja vinauzwa kwa sqm moja elufu 10,000, umbali kutoka mvuti kituo cha daradara km 7 mpaka saiti nauli ya pikipiki elufu moja na Mia tano viwanja vipo tambarare vyote Eneo wametenga sehemu ya kujenga shure ya msingi na sekondari #0683491594 #0716974073