Viwanja vinauzwa Msalato, Dodoma


ENEO LA SQUARE METER 4578 LINAUZWA DODOMA
MSALATO jirani na MarkDon Hotel. Mita chache kutoka barabara ya lami ya Arusha road. Ni kilomita 12 tu kutoka Dodoma mjini.
PIA upande wa pili kuna uwanja wa Ndege wa Kimataifa "New Msalato International Airport"
-----
ENEO Lina viwanja viwili vimeungana (sqm 2320 na sqm 2258 jumla sqm 4578 sawa na ekari 1.13)
UNAWEZA kufanya uwekezaji mkubwa hapa, jenga Appartments, Hotel au lodge. Pia kama unapenda kuishi eneo kubwa basi jenga nyumba weka na bustani za uhakika.
------
ENEO linauzwa lote kwa pamoja.
BEI: Milion 95.
------
Tuwasiliane 0675 982 221
.
.
#MilikiArdhiNasi #moodrealestate #viwanja #viwanjatz #realestate #bungeni #sgr #nyumbakali #nyereresquare #millardayoupdates #makonda #kaziiendelee #samia