Viwanja vinauzwa Mtumba, Dodoma


VIWANJA VIZURI SANA VINAUZWA
Mahali vilipo:- mtumba site (vikonje )
Viwanja viko umbali wa mita 150 kutoka barabara kuu ya Dodoma kwenda Morogoro na viko umbali wa 2.5km kutoka majengo ya wizara
Ukubwa wa viwanja
SQM 1,283 bei 15,500,000/=
SQM 1,181 bei 15,000,000/=
SQM 1,175 bei 15,000,000/=
SQM 998 bei 14,500,000/=
Mawasiliano
+255(0)628891445
+255(0)755 690 265