Viwanja vinauzwa Nyasaka, Mwanza


🗣️ VINAUZWA NYASAKA 🌴
👉 Vipo viwanja viwili kwa pamoja vinauzwa
👉 Kila kiwanja kina ukubwa wa 35 kwa 15
👉 Na kila kiwanja kina Full documents (HATI MILIKI)
👉 Viwanja Vipo Mita 500 Kutoka Barabara Kuu Ya Lami
BEI NI MILIONI 60 KWA VIWANJA VYOTE VIWILI
Kwa maelezo zaidi piga simu: 0765430905
.
.
#PlotForSaleMwanza #DalaliKijanaMwanza #MwanzaProperties #kiwanjamwanza #viwanjamwanza