Viwanja vinauzwa Sabasaba, Morogoro


HAPPY NEW WEEK, WEKEZA NASI
OFA YA SABASABA BADO INAENDELEA 🔥🔥
✅BAGAMOYO KEREGE sqm moja 18,000 cash na 20,000 installment kuanzia sqm 550 na kuendelea
(HAPA KEREGE kuanzia 25 kwa 22 ni 9,900,000 na kuendelea)
Unaweza ukalipa yote cash au ukaanza na nusu nyingine ukalipa kidogo kidogo ndani ya miezi sita
✅KIBAMBA SHULE UNAPATA KIWANJA BEI YA OFA sqm moja 18,000 cash na 20,000 installment kuanzia sqm 400 na kuendelea
UNAPATA KIWANJA (20 kwa 20) KUANZIA 7,200,000
Umbali toka lami ya kibwegere road km 3
Kwa pikipiki nauli 2000 hadi site
Unaweza ukalipa yote cash au ukaanza na nusu nyingine ukalipa kidogo kidogo ndani ya miezi sita
✅KIBAHA VISIGA MADAFU UNAPATA KIWANJA sqm moja 8,000 cash na 10,000 installment kuanzia sqm 440 na kuendelea
(UNAPATA KIWANJA KUANZIA 3,520,000)
Unapata kiwanja na miti ya matunda
Kutoka lami ya Morogoro road ni km 1 tu
Kutoka lami ya zegeleni ni mita 300 tu
Unaweza ukalipa yote cash au ukaanza na nusu nyingine ukalipa kidogo kidogo ndani ya miezi sita
✅BAGAMOYO MAKURUNGE NJIA PANDA YA SAADANI unapata kiwanja chochote kwa 3,000,000 MILIONI TATU TU (SQM 400, SQM 400+ hadi SQM 500+)
Unaweza ukalipa yote cash au ukalipa 250,000 kila mwezi miezi 12 kumi na mbili (mwaka mzima)
Umbali toka lami ya Bagamoyo road ni km 2
✅ KIGAMBONI KIMBIJI PUNA sqm moja 7,500 cash na 10,000 installment kuanzia sqm 382 na kuendelea
( Hapa puna viwanja vinaanzia 2,865,000 na kuendelea)
Unaweza ukalipa yote cash au ukaanza na 500,000 LAKI TANO alafu nyingine ukalipa kidogo kidogo ndani ya miezi kumi na nane 18)
✅KIGAMBONI DEGE viwanja vya makazi tu sqm moja 22,000 cash na 24,000 installment kuanzia sqm 522 na kuendelea na viwanja vya makazi na biashara sqm moja 26,000 cash na 28,000 installment kuanzia sqm 543 na kuendelea (hapa installment unaanza na nusu ya bei nyingine ndani ya miezi sita)
✅Kigamboni mwembemdogo sqm moja 15,000 cash na 17,000 installment kuanzia sqm 429 na kuendelea ( hapa installment unaanza na nusu ya bei nyingine ndani ya miezi sita)
Ofisi zetu zinapatikana:
Mwenge Bamaga,
jengo la Dora tower
floor ya nne
📞☎️: 0768579000