Viwanja vinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


ASANTE KWA KUTUCHAGUA
KARIBU VIWANJA SAHIHI.
Baadhi ya Miradi/Viwanja Tuliyokua nayo.
• Mwembe Mdogo
• Gezaulole
• Kisarawe 2
• Kiluvya Kwa Sumaye
• Arusha-Burka Coffee Estate
• Arusha-Loldjoro Bondeni City
• Tabata Kinyerezi
Sifa za Mirada yetu
• Umeme
• Maji
• Barabara Safi
• Ujirani ,waliojenga kisasa
• Maeneo yote yako karibu na sentra zilizokua tayari
Uwekezaji unaoweza kufanya.
• Nyumba ya kuishi
• Nyumba/Hosteli za kupangisha
• Frame za biashara na nk
• Ofisi
NB Miji umekua sana
Bei ya Viwanja-Zinaanzia
•Cash: 10,000-25,000/= kwa kila Sqm
•Installment: 15,000-27,000/= kwa Kila Sqm
NB Inategemea Na Mradi Na
Bei Hizi Zinajumuisha Gharama Za Hati.
📍Ofisi zetu zinapatikana:
Posta, Pamba House ghorofa ya Pili (2nd Floor) - DAR ES SALAAM.
CCPL 🔥EXPERT BETTER PROPERTY WITH US 🔥