Viwanja vinauzwa Tanga, Ruvuma
Mwambaje Tangaa, Tumewaletea ofaa ya msimu huu wa christmas na Mwaka mpya kutoka Tangaa🔥🔥
Mradi huu upo Mjini kabisaaa "MUHEZA CENTER.
Mradi wa viwanja Tanga-Muheza
Upo M 100 tu kutoka barabarani (Muheza center)
Bei ya sqm 1 kwa kiwanja cha Makazi (Residential) ni Tsh.4,000 tu
Bei ya sqm 1 kwa kiwanja cha Biashara (Comercial) ni Tsh.5,000 tu
Bei ya sqm 1 kwa kiwanja cha Biashara na Makazi ni Tsh.4,500 tu
Malipo ni ndani ya miezi 12
NB: Mradi huu uko ndani ya ofaa za sikukuu za christmas na Mwakampya,
Tupigie No.☎️0 699 543 621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala