Viwanja vinauzwa Toangoma, Dar Es Salaam


TOANGOMA PROJECT.
SQM 1 tunauza Tsh. 45,000 unapewa Mda wa Miezi 36 wakulipia kiwanja Huku ukiruhusiwa kuendeleza kiwanja chako ukishalipa tu Rejesho lako la Kwanza.
Viwanja vimebaki 13 tu Kati ya viwanja 100 tuliokuwa navyo. Na viwanja Vinaanzia Ukubwa wa SQM 512 Hadi SQM 1,000.
Mradi Una Umbali Huu.
Km 3.4 kutoka Barabara Kuu ya Lami(Kituo cha Mwembe Mtengu).
Km 8 Kutoka Mikwambe au Chekechea.
Km 12 kutoka Ulipo Mradi wa NSSF COMPLEX KIJICHI.
Unatumia Dk 30-45 kufika K/Koo au Posta.
Wasiliana Nasi : 0699117035