Viwanja vinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


KIWANJA KIWANJA KINAUZWA KIPO LUGURUNI MANISPAA MPYA YA UBUNGO MAENEO YA KIPERA UMBALI WA KM 3 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-----
Kiwanja kinafaa kwa Makazi tayari kuna Makazi ya watu pameshachangamka , huduma za jamii kama umeme na Maji Dawasa zipo ,Barabara inafikika vizuri wakati wote.
------
Ukubwa wa kiwanja ni
Sqm 400
[ 20x20 ]
Bei million 5
------
Kwenda Kuona Viwanja ni elfu 30,000 /= hii Itadumu mpaka upate kiwanja au eneo ulitakalo bila kuchajiwa tena.
----
CONTACT
Call
&
Wsp
0679997610
0747997630
Msigwa