Viwanja vinauzwa Kiromo, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 2,500,000
Project
Yes

OFA OFA OFA YA MWAKA MPYA……
KWA THS 2.5M cash unapata kiwanja cha SQm 450 na kuendelea bei ni moja kwa kiwanja kimoja hii ukikosa kajinyonge 😂😂

Viwanja Vipo BAGAMOYO KIROMO Mtaa wa MATAYA
Viwanja Vimepimwa
Mradi wetu upo KM 4 kutoka Bagamoyo Road👌
Eneo limepakana na Shule ya Sekondary Genius king 🤝
Bei ya kiwanja kimoja ni 2.5M kwa Cash kwa kiwanja kimoja
Bei ya installment ni Tsh 3.5M
Unatanguliza kiwango chochote ila ndani ya miezi Sita uwe umemaliza
Viwanja vyote bei ni Moja haijalishi ukubwa, ujanja kuwahi
Ukillipia unaweza kuendelea kuendeleza eneo lako huku ukiendelea na Marejesho 👍
Umeme, maji vipo Site
Gharama ya kwenda site utachangia 20,000/- ya mafuta ila gari la ofisi lipo
Siku za kwenda site ni yoyote tupigie siku Moja kabla
Siku Rasmi ni Jumamosi
Tupigie 0716279427 ili utumiwe Ramani uwahi kiwanja kikubwa au corner plots
Call/whatsapp 0716279427
Call 0783145142

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kiromo, Pwani
  • Project

Sh. 2,500,000

OFA OFA OFA YA MWAKA MPYA……KWA THS 2.5M cash unapata kiwanja cha SQm 450 na kuendelea bei ni moja kw...

Viwanja vinauzwa Kiromo, Pwani
  • Project

Sh. 30,000,000

ENEO ZURI SANA KUBWA...LINATAZAMA BARABARA KUBWA YA VUMBI LINAUZWA LINAFAA SANA KUKATA VIWANJA, KUJE...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kiromo, Pwani

Sh. 120,000,000

BOSS UNATAKA NINI TENA, KUNA OFFA YA MUDA MFUPI HAPA... INAHITAJIKA PESA HARAKA ACHANA NA ZILE BEI ...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kiromo, Pwani

Sh. 120,000,000

BOSS UNATAKA NINI TENA, KUNA OFFA YA MUDA MFUPI HAPA... INAHITAJIKA PESA HARAKA ACHANA NA ZILE BEI ...

Viwanja vinauzwa Kiromo, Pwani
  • Project

Sh. 2,800,000

Msije mkasema hamkuona OFA HII😊 ya 2.8m ..2.8 Milioni tu unapata kiwanja ..Na unalipa hadi miezi 8 ....

Viwanja vinauzwa Kiromo, Pwani
  • Project

Sh. 2,800,000

0657 533630Kiromo chambezi Bagamoyo ..Km 6 kutoka main road ..Ukubwa wowote Bei Moja ya 2.8m tu..Una...

Viwanja vinauzwa Kiromo, Pwani
  • Project

Sh. 280,000

Kiromo project in Bagamoyo **Huu mradi sio wa kukosa 🔥**Kiwanja cha ukubwa wowote kwa 2,800,00/= tu*...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kiromo, Pwani
  • Project

Sh. 50,000

BOSS UNATAKA NINI TENA, KUTOKA MIL 210 SASA NI MIL 170 CHAP CHAP, KUMBUKA JUMBA LIPO MJI WA KITALII...