Viwanja vinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


🔥 KIWANJA KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO (VIWANJA VYA BENKI) 🔥
Karibu tajiri, hapa kuna kiwanja kizuri sana cha uwekezaji kinauzwa Tabata Segerea Mwisho – Viwanja vya Benki.
📍 Location: Tabata Segerea Mwisho – Viwanja vya Benki
📏 Ukubwa: Square Meter 1,500
📄 Hali ya Kiwanja: Kimepimwa
🌍 Mandhari: Tambarare kabisa – hakina bonde, mwinuko wala mto
🚗 Ufikaji:
• Ni chache tu kutoka barabara ya lami
• Takribani dakika 5 kutoka stendi ya Segerea Mwisho
💼 Matumizi ya Kiwanja:
Eneo hili ni zuri sana kwa uwekezaji kama:
• Kujenga apartments za kupangisha
• Villas za kisasa
• Guest house au lodge
• Nyumba za ibada
• Au makazi binafsi yenye space kubwa na ya kutosha
Ni sehemu nzuri na inayokua kwa kasi, uwekezaji wako unaweza kukuletea faida kubwa sana siku zijazo.
💰 Bei: Milioni 150 (mazungumzo yapo kidogo)
📞 Kwa mawasiliano:
Piga au WhatsApp: +255 688 412 890
Karibu sana ndugu mteja – tufanye biashara!



















