Kiwanja kinauzwa Madale, Dar Es Salaam (1200 sqm)


Aina
Kiwanja
Ukubwa
1200 SQM
Barabara ya Karibu
200m — Madale Road
Huduma na Sifa
Maelezo
🚨 FURSA ADIMU – MADALE 🚨
Unatafuta kiwanja kikubwa, chenye future nzuri ya thamani kupanda? HIKI HAPA 👇🏽
📍 Madale – unaingia kituo cha polisi
🛣 KM 1 tu kutoka lami kubwa ya Madale Road
🛣 Mita 200 tu kutoka lami mpya inayopita karibu kabisa na kiwanja
📐 Ukubwa: SQM 1200 (eneo kubwa sana!)
📄 Kimepimwa – hati inafuatiliwa
💰 Bei: MILIONI 95 TU (bei ya kuuza
USICHELEWE
✨ Eneo linakua kwa kasi
✨ Linafaa kwa makazi ya kifahari au uwekezaji
#0787705274



















