Frame inapangishwa Kitunda, Dar Es Salaam







Nyumba 2 na fremu 4 zinauzwa kitunda (kivule kwa mpemba)
BEI MILION 76 MAONGEZI YAPO KIAS
👉Nyumba yq kwanza (kubwa) ina vyumba v4
kimoja masta
Dining siting jiko
Nyumba ya pili kuna vyumba kwa ajili
ya kupangisha havijaisha
FREM 4 ZA BIASHARA
Gar moja had mjin
Eneo sqm 460 (makadilio)
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Whatsap au piga