Frame inapangishwa Makumbusho, Dar Es Salaam
Fremu Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Makumbusho
Bei: 400,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 2
☑️Inatizama Lami
☑️Tiles, Gypsum & Aluminium Door
☑️Parking
☑️Full Paving Blocks
☑️Inafaa Kwa Biashara Yoyote, Kama Vile:- Saluni, Duka La Perfume, Duka La Simu, Tailoring, Duka La Nguo, Duka La Urembo, Duka La Vipodozi, Bakery, N.k
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 20,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa Dalali
0718124109