Frame inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam
Fremu inapangishwa
Loc: sinza
Price: milioni 6 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Fremu kubwa sana nzuri ipo sehemu nzuri barabarani kabisa inafaa kwa biashara mbalimbali kama vile mini-market, pharmacy n.k
Fanya kazi na Dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈