Frame inauzwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENTS 5 + FREM MOJA ZINAUZWA
KIBAMBA CHAMA
KILA MOJA ZINA VYUMBA2 VA KULALA
KIMOJA MASTER SEBULE JIKO PIA ZINA PUBLIC TOILET YA NDANI NI NZURI SANA
ZINA FAA KWA BIASHARA ZOTE ZINAWAPANGAJI
BEI YA KUPANGISHA 250X5 x6
PRICE TZS 350M
SERVICE CHARGE ELFU 50
HAZIKO MBALI NA BARABARA
KILA NYUMBA INA PARKING YAKE
CALL #07444009988