Frame inauzwa Kivule, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa kivule frem kumi (HOSPITALI YA WILAYA ILALA KIVULE)
📌Bei milion 127 (INAPUNGUA)
Vyumba v3 kimoja masta
Siting na Dining ni kubwaa sana
jiko stoo
Tailz jipsam umeme
INA FULL PERVING NA A.C
INA KISIMA CHA MAJI SAFI
📌Eneo sqm 1400 (INA HATI MILIKI)📌
Unatembea tu had stend
Whatsap au piga 0621664146