Frame ya Biashara inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


Aina
Frame ya Biashara
Huduma na Sifa
Maelezo
🔥 FREM INAPANGISHWA – KIJITONYAMA 🔥
Unatafuta sehemu ya biashara yenye mvuto na location ya uhakika? Hii hapa ni nafasi yako!
📍 Frem kali sana ipo Kijitonyama
✨ Ipo sehemu nzuri sana ya biashara – wateja ni wengi na mazingira ni rafiki kwa biashara yoyote
💰 Bei: 600,000/= kwa mwezi
🧾 Service Charge: 30,000/=
Inafaa kwa biashara yoyote au ofisi – usikose nafasi hii adimu!
📞 Call: 0787093748



















