Shamba linauzwa Bunju-A, Dar Es Salaam (3 acre)


Aina
Shamba
Ukubwa
3 ACRE
Barabara ya Karibu
4km — Bagamoyo Road
Sifa
Maelezo
SHAMBA LA MIFUGO LA KISASA, EKARI 3,TSHS.550 MILIONI, BUNJU-A.
Lipo umbali wa kilomita 4 kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Hapa kuna:
Mabanda ya kufugia KUKU,
Mabanda ya kufugia NG'OMBE,
Mabwawa 4 ya Kufugia SAMAKI.
Miundombinu iliyopo ni pamoja na Nyumba 2 za Wafanyakazi,
Kisima cha Maji na
Miundombinu ya Bomba za Kusambaza Maji kwenye Mazao.
Ukubwa ni Ekari 3.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
___________rgshn




















