Shamba linauzwa Dakawa, Morogoro


*Shamba la Ekari 1590 linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji linauzwa Dakawa, Morogoro*
*Distance* Kutoka Morogoro mjini ni 39 KM Sokoine Picha na Kutoka Sokoine Picha Barabara ya Dodoma ni KM 9
*Neighborhood* Shamba la Miwa na Wafugaji wa Kimasai
*Ndani ya Shamba umepita Mto Wami ambao ni mpaka wa shamba jingine*
*Ndani ya shamba kuna mabwawa 4 ya Samaki ambapo 2 ya kutengeneza na 2 ya asili samaki wanaopatikana ni Perege, Kambale, Bembe, Ngogo na Kitoga.*
-Shamba linatumika kwa Kilimo, Ufugaji na Uvuvi.
-Shamba linakubali mazao aina zote ikiwemo Miwa, Mboga Mboga, Mpunga na kwa sasa yaliyoko shambani ni Mbaazi (Ekari 50), Mahindi (Ekari 300).
-Shamba limesafishwa Ekari 800 zilizobaki ni pori.
-Shamba lina mlima wa mawe wa kupasua leseni zimelipiwa.
Document: Title Deed (99 Years) imetolewa Mwaka 2024
*Bei ni shilingi Bilioni 2.5 maongezi yapo*
Buy, sale Rent And advertise with us
Calls And whatsap +255621488071.