Shamba linauzwa Ilula, Mwanza
Ilula, Kwimba, Mwanza
19 days ago
Sh. 1,000,000
Installment Allowed
Agriculture
SHAMBA LA EKARI 1,150 LINAUZWA
-shamba lipo mwanza, wilaya ya kwimba - kijiji cha ilula
-shamba lina hati miliki ya miaka 99
-bei Milioni 1 na laki 5 kwa ekari moja
-mazungumzo yapo
-shamba linafaa kwa kilimo, ufugaji n.k
☎️ 0743220097