Shamba linauzwa Mawasiliano, Morogoro


Shamba lina fence ya mitiki, lina miembe, michungwa, mikorosho, minazi, mifenesi, milimao, na ndimu, pia kuna mipingo, miarobaini, kisamvu. Nazi zipo zinazozaa, korosho zipo zinazoanza kuzaa, maembe msimu wa 2 ma wa3 yanazaa. Ndimu zipo, mafenesi yameanza kuzaa baadhi. Shamba linauzwa ekari 25 zote kwa mara 1 na kutoka barabara kuu ya Morogoro ukiingilia Misugusugu kwa boda boda ni Tshs 4000 tu mpaka shambani. Ni lami ya viwanda na inabaki vumbi kama km 3 mpaka shamba. Umeme shambani wa phase 2 upo. Maji ya kisima muda wote yapo. Mawasiliano ni 0794935203. Gharama ya kupelekwa kuona ni 50,000. BEI YA SHAMBA NI MILIONI 250. Karibu sana.



















