Shamba linauzwa Mjini, Ruvuma


SHAMBA LINAUZWA CHINANGALI DODOMA.
lipo 44km kutoka mjini na 1.5km kutoka dar es Salam road.
Lina udongo mwekundu, ni tambarare na Lina rutuba sana. Linafaa kwa kilimo Cha mazao mengi.
Shamba Lina ukubwa wa ekari 8.
Bei ni 800,000 kwa ekari.
Service charge 20,000
NB: Kwa dar es salaam road, ni nadra sana kukuta shamba zuri kama hili linauzwa kwa 800k, wahi Sasa!