Shamba linauzwa Vikindu, Pwani


Shamba kubwa linauzwa vikindu mkoa wa pwani
Shamba lipo maalufu kwa mfuga ng,ombe
Shamba lina ukubwa wa heka 29
Ndani kuna nyumba 5 za kisasa
Ndani ya shamba pia Kuna ng,ombe wa kubwaa kama nyati wapo 10 hawa ni ng,ombe wa maziwa
Shamba lina mabwawa ya samaki matatu
Pia lipo pawa TILA kwaajili ya kulimia
Ukinunua hili shamba utaachiwa Kila kilicho humu ndani
Mmiliki ni mmoja tittlee dedee mkononi
Bei kwa shamba lote mil 800 maongezi yapo
Shamba lipo umbali wa km 18 kutoka kulwa road hapo vikindu
Kazi imenyooka kukaguwa mda wowote
Karibu 0625584914


















