Shamba linauzwa Zinga, Pwani







🟩 SHAMBA ZURI LINAUZWA
📍 Eneo: Zinga – Kwa Mtoro (mita 500 kutoka barabara kuu)
📏 Ukubwa: Eka 4
📜 Umiliki: Halijapimwa
🚗 Ufikaji: Gari inafika moja kwa moja shambani
🏘️ Huduma: Maji, umeme, na barabara karibu
💰 Bei: Milioni 35 kwa kila eka
📞 Mawasiliano: 0687 800 788