Shamba linauzwa Zuzu, Dodoma







FURSA NYENGINE HIIIIAPA YA UWEKEZAJI NDANI YA MAKO MAKUU YA NCHI DODOMA. SHAMBA ZURI SANA LINAUZWA NA MWENYEWE LIPO DODOMA MAZENGO ZUZU. KARIBU KAMBI YA JESHI... HEKA 15. LINA HATI MBILI HEKA 9. HATI MATUMIZI YA SHULE NA HEKA 6. URBAN FARM. PIA KUNA MABANDA YA KUFUGIA.
LOC : DODOMA MAZENGO
AREA :HEKA 15.
PRICE : MIL. 500.
UMILIKI : HATI MILIKI YA WIZARA.
SIFA:- 👇👇👇
-MABANDA 5 YA KUFUGIA.
-NYUMBA YA MLINZI
-KISIMA CHA MAJI.
-MIKOROSHO.
-MICHUNGWA.
-MIHEMBE.
-MALIMAO.
-GENERATA KUBWA.
NB. Naongea na mmiliki
HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUPELEKWA SITE NI SH ELF 100,000. HII HAIHUSISHI USAFIRI.