Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya


Karibuni Sanaa Wapendwa.
Mradi upo Bagamoyo Makurunge, viwanja vimepimwa na hati unapatiwa.
Eneo la Mradi;
Kutoka Bagamoyo bus stand ni dakika 20 na Mita 800 kutoka barabara kubwa ya msata.
Huduma za kijamii zipo.
Bei
Sqm1 ni Tsh 5000
Mawasiliano
0718-221850
sanjaqandkay_entreprises