Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya
MRADI MPYA BAGAMOYO MAKURUNGE- NJIA PANDA YA SAADANI🔥🔥🔥🔥🔥 SASA NI KUJICHAGULIA CHOCHOTE KWA BEI ILEILE MOJA!
▫️MRADI UMEPIMWA NA UNA MAWE YA WIZARA
▫️HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA
▫️VIWANJA VIPO 400+, 500+ hadi 600+
▫️UNAPATA KIWANJA CHOCHOTE KWA 3,000,000/=TU NA KWA INSTALLMENT (Malipo ndani ya miezi 12) KILA MWEZI UNALIPA 250,000/= TU
▫️UMBALI TOKA LAMI (BAGAMOYO ROAD) NI KM 2 TU
▫️UMBALI TOKA BARABARA INAYOELEKEA HIFADHI YA TAIFA YA SAADANI NI MITA 300 TU
▫️HATI KWETU NI UHAKIKA BAADA YA KUKAMILISHA MALIPO
Tunapatikana Mwenge, Bamaga
Jengo la Dora tower
Floor ya 4.
Call/Whatsapp: 0626783900 or 0768579000