Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya
Kiwanja kinauzwa Bagamoyo, kata ya Magomeni mtaa wa SANZALE
👉Umbali kutoka barabara ya Msata ni mita 700
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 600 yaani 20m kwa 30m
👉 Bei ni 10,000/= kwa sqm yaani Tshs 6,000,000/= kwa 600sqm
Malipo ni cash na kuna punguzo la 10% yaani 5,400,000/= kwa kiwanja cha 600sqm
👉 Anza kulipia 400,000/= kila mwezi kwa miezi 15 kama unataka kulipia kidogo kidogo
Viwanja vimepimwa na huduma zote ziko karibu na mradi.
Tupigie simu kuona mradi
☎+255683273159
Tunapatikana Sinza kivulini jirani na jengo la S H AMON IGESA ROAD
ujanja ni kumiliki ardhi