Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Mbeya


Mmhh weee usiniambie kwamba bado hujaona ofaa ya msimu wa sikukuu ya wakulima (Nane Nane)
Yani panazidi kupamba 🔥🔥🔥,Tunakuletea mradi wa ofaaa ya kibabe kabisa
Bagamoyo-Makurunge
-Sqm 1 Tsh. 4,000 tu
-Bei ya sqm 400 ni Tsh.1,600,000
-Lipia cash upate punguzo la 10%
-Lipia kila mwezi Tsh.107,000 tu
Mradi wetu upo karibu sana na huduma zote za kijamii,Mradi umepimwa na Ramani ziko Approved
Zingattia unaponunua kwetu viwanja unapata na Hati yako kwa 100%.
Tunasemaje 2024 #KIWANJA NI HATI, Hakikisha unamiliki kiwanja chenye Hati miliki,Epuka janja janja
Kwa Maelezo zaidi Tupigie simu No.
☎️ 0699543621
Ofisi zetu zinapatikana Mwananyamala "A"