Viwanja vinauzwa Bagamoyo, Tanga
Viwanja vya matumizi mbalimabali MAKURUNGE, Bagamoyo.
Sio Shamba, Kama Jirani anavyodhihirisha hapo 😊
📌 Viwanja vipo umbali wa Kilomita 2 kutoka barabara kuu ya
MSATA - BAGAMOYO inayotumiwa na magari yaendayo mikoa ya Kaskazini kutoka Dar es Salaam.
📌 Vikiwa mita 50 kutoka barabara ya kuelekea PANGANI na TANGA inayoendelea kujengwa kwa kiwango cha lami na kuwekewa miundombinu ya maji na umeme.
✍️ Viwanja vipo 10km kutoka eneo la Razaba ( Eneo La Zanzibar)
Eneo linalopakana na viwanja hivi limepimwa na viwanja vimeuzwa na vimeisha. Huduma zote za jamii zimetengewa maeneo.
*GHARAMA*
Bagamoyo Makurunge ✍️
Mradi mpya bagamoyo makurunge
📌 2km kutoka Bagamoyo Road
📌 Njia ya kuelekea Saadani National Park
📌 Malipo hadi miezi 24
*BEI ZA MITA MRABA*
1. Malipo ya cash 6,000/= kwa mita mraba
- Mfano SQM 340
340 x 6,000 = 2,040,000
2. Malipo ya awamu miezi 24 ni 7,500/= kwa mita mraba
- Mfano SQM 340
340 x 7500 = 2,550,000
📌Kila mwezi 106,250
▪️viwanja ni kwa ajili ya biashara na shughuli zingine za kiuchumi ikijumuisha Housing Estates.
▪️Viwanja hivi vina ukubwa
• wa kati ya mita za mraba wa 400 hadi 8,000+
▪️ *HATI*
•REJAA REAL ESTATE Itamtengenezea hati mteja kulingana na makubaliano ya mkataba wa manumuzi utakaofanywa na mnunuzi na kampuni.
▪️Malipo ya kiwanja yanaweza kufanywa kwa awamu ndani ya miezi 24
☎️ CALL/WHATSAPP
0744817882