Viwanja vinauzwa Boma, Iringa
KIWANJA KINAUZWA BWEJUU
#unguja #zanzibar
Umbali kutoka viwanja vilipo mpaka barabarani 2.70Km
VILIVYOMO
Boma la chumba kimoja kozi tano
Kisima Cha maji
Ukubwa wa kiwanja Mita 53x47
Bei 9,000,000/= Milioni tisa
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake