Viwanja vinauzwa Bunju, Dar Es Salaam


Mradi handsome kabisa yani, njoo muwekeze mabosi zetu ๐ฅ๐ฅ
๐ Bei ya Sqm 1 ni Tsh.85,000 kwa viwanja vya nyuma ya barabara
๐ Bei ya Sqm 1 ni Tsh.100,000 kwa viwanja vya mbele ya barabara
๐ Viwanja vinaanzia ukubwa wa Sqm 650 na kuendelea
โ
๏ธ Malipo ni miezi 6| Anza na asilimia 50 (50%) kwa malipo ya mwezi wa kwanza
โ
๏ธ Umbali ni Km 1 tu kutoka Bunju stand hadi site ilipo
โ
๏ธ viwanja vimepakana na Majengo ya TBA
โ
๏ธ TWENZETU SITE KILA SIKU | JUMAA TATU-JUMAPILI
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi
โ๏ธ 0623 747 133 | Office:Mwananyamala "A"