Viwanja vinauzwa Bunju, Dar Es Salaam



Viwanja vinauzwa vipo Bunju A
Ukubwa wa Kiwanja Sqm 600
Bei ni Milioni 25 Laki 5 maongezi yapo.
Baada ya malipo unakabidhiwa hati kwa jina lako
Na ukichukua viwili unaruhusiwa kulipia kwa stroment mbili
Gharama za kuona kiwanja shs 20,000.
Wasiliana nami kwa
0784 234 971 au
0718 809 744
Karibuni sana



















