Viwanja vinauzwa Buyuni, Dar Es Salaam


Hellow oasis lovers! Tunawapenda sana wateja wetu!
Tumewaletea offer maalum kabisa..
BUYUNI GREENCITY.
< Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 400
< Unaweza kukipata kwa bei nafuu kabisa
< Bei zetu ni:
< Sqm1 kwa cash ni 8500 Tsh
< Sqm1 kwa malipo ya awamu yaani installment ni 11,000
< Malipo huwa yanafanyika kwa miezi 24 tuu
< Na kila mwezi utalipia 200,000 tuu.
< Ukimaliza kulipa deni hati yako mkononi
Pia;
Viwanja vyetu vinaukubwa kuanzia sqm400 mpk 5000sqm!!!
Umbali
Km 38 tuu kutoka site kuelekea ferry
Km 3 tuu kutoka site kuelekea barabara kuu.
Unakosaje fursa hii mpendwa wangu, wahi sasa!!
Huduma zote za kijamii zipo katika eneo la Mradi
🤝Karibuni sana oasis premises limited
📍Tupo Bamaga dora tower floor no 4
📲 Kwa mawasiliano zaidi piga: 0652044544
#nengatronix#tramwanzatz#bandaricollege#getrudemwita#azamtwo#halimashebuge#divatheseries#niiteboshen#lodymusic_#abba#afrobeats#wolperstylish#zanzibar#comores🇰🇲#dubai🇦🇪#beijing🇨🇳#japanculture#europe_vacations