Viwanja vinauzwa Buyuni, Dar Es Salaam


Another one.
Sasa ipo hivi mradi mpya ni Buyuni, pembamnazi.
Kutoka Buyuni center hadi site ni km 2. Yaani unanyoosha tu.
Sasa kutokea barabara kuu hadi site ni Mita 500 tu, Arooo.
Nowakumbushe tu Buyuni center ni beach. Pia pembamnazi kuna beach. Sasa basi kutoka site hadi beach ni km 2.5. Yani kwa ufupi ni. Mitaa ya uzunguni baadaye.
BEI
◾Cash - 9,000 Kwa sqm
◾Awamu - 12,000 Kwa sqm
Viwanja vipo kuanzia sqm 480 hadi 1,022. Kazi kwako kujichagulia.
Nicheki hapa tupige zetu mahesabu
0659 308250
viwanja _na_dalalidada