Viwanja vinauzwa Chahwa, Dodoma


Eneo lipo Chahwa dodoma, lina viwanja vinne '4' kuanzia 828sqm, 913sqm, 938sqm na 1523sqm. Vya kwanza kwanza barabara kubwa ya chahwa.
10km kutoka barabara kubwa ya kwenda dar, eneo lipo katikati ya mji wa kiserikali na ikulu (karibu kabisa na ukuta wa ikilu) .
Linauza kama lilivyo
Price ni 15m, maongezi kidogo yapo