Viwanja vinauzwa Chanika, Dar Es Salaam


*MRADI MPYA CHANIKA KWA MBIKI*
*JINSI YA KUFIKA KWENYE MRADI*
Ukitokea mjini unapanda magari ya gongolamboto, unashuka mwisho wa gari unapanda magari yanayoenda chanika/ unapanda gari unashukia karume unapanda magari yanayoenda chanika kituo kinaitwa kwa MBIKI .
ukishuka mradi upo upande wa kushoto,
Unapanda bodaboda naul ni 1000 atakupeleka mtaa wa ZAVARA.
Viwanja vimepimwa kuanzia SQM 400 (20x20)
Bei yake cash ni 4,500,000/=.
Bei ya mkopo ni 5,000,000/=
Mkopo mtaja ataanza na 20% kias kinachobaki kitalipwa ndani ya miez 5 tu. Wasiliana nami kwa no 0755645045.