Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Eneo nzuri Sana lipo Goba kings karibu na njianne.viwanja vipo sita.kuna sqm 900 vipo viwili,sqm 800 kipo kimoja.na pia sqm 600 vipo vitatu jumla 6 na vimeshika barabara ya mtaa.na vinauzwa kwa sqm moja 110,000 Ila maongezi yapo mita 400 kutoka main road.0762089247