Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Viwanja vizuri sana vinauzwa:
Vipo mtaa wa kibabe sana km unayoona hakuna kuombana chumvi
Viwanja ni viwili vimeungana
Ukubwa-sqm 759 na 674
Umiliki- Hati miliki
Bei ya January ml 50 kila kiwanja maongezi kidogo
Location- goba kulangwa
Umbali-km 1.2 kutoka main road deez pub
0745559598