Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam


*Viwanja Vimepimwa Goba Njia Nne – 3 Tu Vimebaki!*
Tunauza viwanja vilivyopimwa eneo la Goba Njia Nne,
mahali pazuri sana kwa makazi au uwekezaji.
Eneo hili lina majirani wa kueleweka na mazingira tulivu ya kuishi.
Viwanja vina hati miliki tayari
Viko mita 200 tu kutoka barabara kuu
Vimebaki viwanja 3 tu
Ukubwa kuanzia sqm 1500
Bei ni Tsh 80,000 kwa sqm
Kama una ndoto ya kujenga karibu na barabara, hii ni fursa ya kipekee sana
usiyopaswa kuikosa!
Kamma unataka ramani nijulishe nikutumie
Karibu!
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kupanga kutembelea site:
📞 0742 892 195