Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam


PLOT ZINAUZWA GOBA MATOSA.
ZIPO 5 TU
SQM 582
SQM 661
SQM 627
SQM 623
SQM 686
BEI: TSH. 90,000/= KWA SQUARE METER MOJA
➡️ KUPATA BEI HALISI YA KILA KIWANJA ZIDISHA UKUBWA WA PLOT KWA ELFU 90.
➡️ UMBALI KUTOKA LAMI YA GOBA NI MITA 900 TU
➡️ VIWANJA VINAGUSA BARABARA KUBWA YA MTAA INAYOTOKA LAMI MOJA KWA MOJA.
➡️ HUDUMA JAMII ZOTE ZINAPATIKANA.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU 0782428327