Viwanja vinauzwa Hazina, Dodoma


TUNAJUA MUDA MCHACHE MAMBO NI MENGI ILA ARDHI NI HAZINA YA KUDUMU.
👉Mwenye macho haambiwi tazama, Viwanja vya KIGAMBONI DEGE MBUTU KICHANGANI viko 🔥🔥!! Usikubali kukosa kabisa. Viwanja viko Upande wa BAHARI. Mita 900 kufika baharini. Pia ni Karibu na Hotel kubwa ya kitalii ya ayasophiavilla Kwa wale wanaopenda mazingira tulivu na kuenjoy na familia hapa panawafaa!!
👉Ni pazuriiii sana, watu wamejenga mijengo ya maana, Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali &private) Vituo vya Afya, vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.
🤗Bei sasa ni kama bureee kabisa inaanzia Million 3.5 unapata KIWANJA . Sqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208, 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei.
🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi.
📞0683851850////0683851850 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi.
#viwanjabeirahisi #viwanjadar #viwanjakigamboni #viwanjatz #viwanjavilivyopimwa #viwanjavyauhakika #Pesambiliproperty #makazibora #makazi #property #propertymanagement #maisha #nyumbanafuu #nyumbanzuri #kigamboni #mbutukichangani #kigambonimpya